Our Lady of Medjugorje Messages containing 'na'
Total found:
218
Ujumbe, 25 Machi 2021
“
W
anangu wapendwa! Hata leo mimi ni pamoja nanyi ili kuwaambieni: wanangu, yule anayesali hana hofu ya wakati ujao wala hapotezi tumaini. Mmechaguliwa kwa kuleta furaha
na
amani, kwa maana ni wangu. Nimekuja hapa pamoja
na
jina: Malkia wa Amani kwa sababu ibilisi anataka kuleta wasiwasi
na
vita, anataka kuijaza mioyo yenu kwa hofu ya wakati ujao
na
wakati ujao ni wa Mungu. Kwa hiyo muwe wanyenyekevu, salini
na
acheni yote katika mikono ya Yeye aliye Juu aliyewaumba. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Aprili 2021
“
W
anangu wapendwa! Leo ninawaalika kushuhudia imani yenu katika rangi za majira ya kuchipua,
na
iwe imani ya matumaini
na
ya ujasiri. Wanangu, imani yenu isitindike katika hali yoyote
na
hata katika wakati huu wa majaribio. Tembeeni kwa ujasiri pamoja
na
Kristo Mfufuka kuelekea Mbingu iliyo lengo lenu. Mimi ninaandamana nanyi katika mwendo huu wa utakatifu
na
kuweka ninyi nyote katika Moyo wangu Usio
na
dhambi ya asili. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Mei 2021
“
W
anangu wapendwa! Ninawatazama
na
kuwaalika: mrudieni Mungu maana Yeye ndiye upendo
na
kwa ajili ya upendo alinituma kwenu ili niwaongoze kwenye njia ya wongofu. Acheni dhambi
na
maovu, amueni kuwa watakatifu
na
furaha itatawala; nanyi mtakuwa mikono yangu iliyopanuliwa katika ulimwengu huu uliopotea. Ninatamani ya kuwa muwe sala
na
matumaini kwa wale ambao hawajamjua Mungu wa upendo. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Julai 2021
“
W
anangu wapendwa! Ninawaalika kuwa sala kwa wale wote wasiosali. Shuhudieni, wanangu, kwa njia ya maisha yenu furaha ya kuwa wangu
na
Mungu atajibu sala zenu
na
kuwapa amani katika ulimwengu huu wa wasiwasi ambamo kiburi
na
ubinafsi hutawala. Wanangu, ninyi muwe wakarimu
na
upendo wa upendo wangu ili wapagani wahisi ya kuwa ninyi ni wangu
na
waweze kuugeukia Moyo wangu Usio
na
dhambi ya asili. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Agosti 2021
“
W
anangu wapendwa! Kwa furaha ninawaalika ninyi nyote, wanangu, mlioitikia wito wangu, kuwa furaha
na
amani. Kwa maisha yenu shuhudieni Mbingu ninayowaletea. Ni saa, wanangu, ya kuwa wonyesho wa upendo wangu kwa wote wale ambao hawapendi
na
mioyo yao imeshindwa
na
machukio. Msisahau: mimi ni pamoja nanyi
na
ninawaombea ninyi nyote karibu
na
mwanangu Yesu ili awapeni amani yake. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Septemba 2021
“
W
anangu wapendwa! Ombeni, shuhudieni
na
mfurahi pamoja nami kwa sababu Mwenyezi Aliye Juu ananituma tena kuwaongoza katika njia ya utakatifu. Mjitambue, wanangu, kwamba maisha yenu ni mafupi
na
umilele unawasubiri ili kwamba pamoja
na
watakatifu wote mmtukuze Mungu kwa nafsi yenu. Msiwe
na
wasiwasi, wanangu, kwa mambo ya kidunia lakini tamanini Mbingu. Mbingu itakuwa lengo lenu
na
furaha itatawala moyoni mwenu. Niko pamoja nanyi
na
ninawabariki nyote kwa baraka yangu ya kimama. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Oktoba 2021
“
W
anangu wapendwa! Rudieni kusali maana wanaosali hawaogopi wakati ujao. Wale wanaosali wako wazi kwa uzima
na
wanaheshimu maisha ya wengine. Yeyote anayesali, wanangu, anahisi uhuru wa wana wa Mungu
na
kwa moyo wa furaha hutumikia kwa manufaa ya ndugu yake. Kwa sababu Mungu ni upendo
na
uhuru. Kwa hiyo, wanangu, wanapotaka kuwafunga kwa minyororo
na
kuwatumia hilo halitoki kwa Mungu maana Mungu ni upendo
na
humpa kila kiumbe amani yake. Kwa hiyo amenituma niwasaidie ninyi kukua katika njia ya utakatifu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Novemba 2021
“
W
anangu wapendwa! Niko pamoja nanyi katika wakati huu wa rehema
na
ninawaalika nyote kuwa waleta amani
na
upendo katika ulimwengu huu, ambapo, wanangu, Mungu anawaalika kupitia Kwangu kuwa sala, upendo
na
kielelezo cha Paradiso, hapa duniani. Mioyo yenu
na
ijazwe
na
furaha
na
imani katika Mungu ili, wanangu, muwe
na
imani kamili katika mapenzi yake matakatifu. Hii ndiyo sababu mimi niko pamoja nanyi kwa sababu Yeye, Aliye Juu, ananituma kati yenu ili kuwahimiza ninyi kuwa
na
matumaini
na
mtakuwa waleta amani katika ulimwengu huu wenye wasiwasi. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Desemba 2021
“
W
anangu wapendwa! Ninawaletea Mwanangu Yesu awapeni amani yake. Wanangu, bila amani hamna wala wakati ujao, wala baraka, kwa hiyo rudieni kusali kwa sababu tunda la sala ni furaha
na
imani,
na
bila hiyo hamwezi kuishi. Baraka ya leo tunayowapa, ileteni kwa jamaa zenu
na
tajirisheni wote wale mnaokuta ili wahisi neema ambayo mnapokea. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Januari 2022
“
W
anangu wapendwa! Leo ninawaalika kurudia sala zenu za binafsi. Wanangu, msisahau ya kuwa shetani ni mwenye nguvu
na
hutaka kuvuta nafsi nyingi iwezekanavyo kwake. Kwa hivyo, ninyi kesheni katika sala
na
muwe
na
azimio katika kutenda mema. Mimi niko pamoja nanyi
na
ninawabariki nyote kwa baraka yangu ya kimama. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Februari 2022
“
W
anangu wapendwa! Nipo pamoja nanyi
na
tusali pamoja. Wanangu nisaidieni kwa maombi ili shetani asishinde. Nguvu yake ya mauti, chuki
na
woga imeitembelea Dunia. Kwa hiyo wanangu, mrudieni Mungu katika maombi
na
katika kufunga
na
kuwanyima kwa ajili ya wote waliokanyagwa, maskini
na
wasio
na
sauti katika dunia hii pasipo Mungu. Watoto wadogo, msipomrudia Mungu
na
amri zake, hamna wakati ujao. Kwa hiyo amenituma kwenu ili niwaongoze. Leo ninawaalika mrudi kwenye sala ya kibinafsi. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Machi 2022
“
W
anangu wapendwa! Ninasikiliza kilio chenu
na
maombi ya amani. Shetani amekuwa akipigania vita kwa miaka mingi. Kwa hiyo Mungu amenituma kati yenu ili niwaongoze katika njia ya utakatifu, kwa sababu ubinadamu uko kwenye njia panda. Nawaalikeni: mrudieni Mungu
na
amri za Mungu mkae vizuri hapa duniani
na
mtoke katika janga hili ambalo mmeingia kwa sababu humsikii Mungu anayewapenda
na
anayetaka kuwaokoa
na
kuwaongoza kuelekea maisha mapya. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Mei 2022
“
W
anangu wapendwa! Ninawatazama
na
ninamshukuru Mungu kwa kila mmoja wenu, kwa sababu ameniruhusu niwe nanyi tena ili kuwasihi katika utakatifu. Wanangu amani inavurugika
na
shetani anataka mahangaiko. Kwa hiyo maombi yenu yawe
na
nguvu zaidi ili kila roho chafu ya utengano
na
vita itulie. Iweni wajenzi wa amani
na
wachukuaji wa Aliyefufuka ndani yenu
na
karibu nanyi ili mema yapate kushinda katika kila mtu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Juni 2022
“
W
anangu wapendwa! Ninafurahi pamoja nanyi
na
kuwashukuru kwa kila sadaka
na
sala ambayo mlitolea kwa makusudi yangu. Wanangu, msisahau ya kuwa ninyi ni muhimu katika mpango wangu wa wokovu wa wanadamu. Rudeni kwa Mungu
na
kwa sala ili Roho Mtakatifu atende kazi ndani yenu
na
kupitia ninyi. Wanangu, Mimi ni pamoja nanyi hata katika siku hizi ambapo shetani anapiga kwa vita
na
kwa machukio. Utengano ni wenye nguvu
na
maovu yatenda kazi katika mwanadamu kama hajatenda bado mpaka leo. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Julai 2022
“
W
anangu wapendwa! Niko pamoja nanyi kuwaongoza katika njia ya uongofu kwa sababu, wanangu, kwa maisha yenu mnaweza kuleta nafsi nyingi karibu
na
Mwanangu. Iweni mashahidi wenye furaha wa Neno la Mungu
na
wa upendo, mkiwa
na
matumaini ndani ya mioyo yenu yashindayo uovu wote. Mwasamehe wanaowadhuru
na
tembeeni katika njia ya utakatifu. Ninawaongoza kwa Mwanangu ili Yeye awe njia, ukweli
na
uzima kwenu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Agosti 2022
“
W
anangu wapendwa! Mungu ananiruhusu niwe pamoja nanyi
na
kuwaongoza kwenye njia ya amani ili kupitia amani ya kibinafsi, muweze kujenga amani duniani. Nipo pamoja nanyi
na
ninawaombea kwa Mwanangu Yesu ili awape imani thabiti
na
tumaini ya maisha bora ya baadaye ninayotaka kujenga pamoja nanyi. Ninyi, jipeni moyo
na
msiogope maana Mungu yu pamoja nanyi. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Septemba 2022
“
W
anangu wapendwa! Salini ili Roho Mtakatifu awaangazie kuwa watafutaji wa Mungu wenye furaha
na
mashahidi wa upendo usio
na
kikomo. Mimi niko pamoja nanyi, wanangu,
na
ninawaalika ninyi nyote tena: jitieni moyo
na
mshuhudie matendo mema ambayo Mungu anafanya ndani yenu
na
kupitia kwenu. Furahini katika Mungu. Mtendeeni mema jirani yenu ili mpate afya njema duniani
na
ombeeni amani ambayo inatishiwa kwa sababu shetani hutaka vita
na
mahangaiko. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Oktoba 2022
“
W
anangu wapendwa! Aliye juu aliniruhusu niwe pamoja nanyi; kuwa furaha kwenu
na
njia katika matumaini kwa sababu ubinadamu umeamua kifo. Kwa hiyo amenituma niwaelekeze kwamba bila Mungu hamna wakati ujao. Wanangu, muwe vyombo vya upendo kwa wale wote ambao hawajamjua Mungu wa upendo. Kwa furaha toeni ushuhuda wa imani yenu
na
msipoteze matumaini katika mabadiliko ya moyo wa mwanadamu. Niko pamoja nanyi
na
ninawabariki kwa baraka yangu ya mama. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Novemba 2022
“
W
anangu wapendwa! Aliye juu amenituma kwenu ili niwafundishe jinsi ya kuomba. Sala hufungua mioyo
na
kutoa tumaini; imani huzaliwa
na
kuimarishwa. Wanangu, nawaiteni kwa upendo: mrudieni Mungu kwa maana Mungu ni upendo wenu
na
tumaini lenu. Msipoamua kwa ajili ya Mungu hamna mustakabali
na
kwa hiyo niko pamoja nanyi kuwaongoza ili muamue uongofu
na
uzima
na
sio kifo. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Desemba 2022
“
W
anangu wapendwa! Leo ninawaletea Mwanangu Yesu ili muwe amani yake
na
kielelezo cha utulivu
na
furaha ya Mbinguni. Salini, wanangu, ili muwe wazi kukaribisha amani, kwa sababu mioyo mingi imefungwa kupokea wito ya nuru ibadiliyo mioyo. Niko pamoja nanyi
na
ninawaombea mjifungue kumkaribisha Mfalme wa Amani anayeijaza mioyo yenu joto
na
baraka. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose
<<Previous
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
Next>>