Our Lady of Medjugorje Messages containing 'vishawishi'
Total found:
2
Ujumbe, 25 Julai 2013
“
W
anangu wapendwa! Kwa furaha moyoni nawaalika wote kuishi imani yenu na kuishuhudia kwa moyo na mfano kwa kila namna. Ee wanangu, kateni shauri kuacha kabisa dhambi na
vishawishi
vyake; mioyo yenu ijae furaha na upendo kwa utakatifu. Mimi, wanangu, nawapenda na ninaambatana nanyi. Asanteni kwa kuitikia mwaliko wangu.
”
Ujumbe, 25 Februari 2018
“
W
anangu wapendwa! Katika kipindi hiki cha neema ninawaalika nyote kujifungua na kuishi amri ambazo Mungu aliwapeni ili, kwa njia ya sakramenti, ziwaongoze katika njia ya wongofu. Ulimwengu na
vishawishi
vya ulimwengu vinawajaribu; ninyi, wanangu, angalieni viumbe vya Mungu ambavyo katika uzuri na unyenyekevu Yeye aliwapa, na mpendeni Mungu, enyi wanangu, kuliko kila kitu naye atawaongoza katika njia ya wokovu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose