“Wanangu wapendwa! Katika wakati huu ninawaita kumrudia Mungu na sala. Waiteni watakatifu wote wawasaidie ili wawe mfano na msaada kwenu. Shetani ni mwenye nguvu na anapigania kuivutia kwake mioyo mingi zaidi awezavyo. Anataka vita na chuki. Kwa sababu hiyo Mimi ni pamoja nanyi muda mrefu ili niwaongoze kwenye njia ya wokovu, kwa Yule aliye njia, kweli na uzima. Wanangu, rudini kwa upendo kumwelekea Mungu naye atakuwa nguvu yenu na kimbilio lenu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose
“Today I call you to accept and live my messages with seriousness. These days are the days when you need to decide for God, for peace and for the good. May every hatred and jealousy disappear from your life and your thoughts, and may there only dwell love for God and for your neighbor. Thus, and only thus shall you be able to discern the signs of the time.”