Contenuto dell'articolo - Italiano - Messaggio, 2 dicembre 2015
- English - Message, December 2, 2015
- Español - Mensaje, 2 de diciembre de 2015
- Polski - Orędzie 2. grudzień 2015r.
- Français - Message, 2 décembre 2015
- Hrvatski - Poruka, 2. prosinac 2015.
- Deutch - Botschaft 2. Dezember 2015
- Čeština - Poselství, 2. prosince 2015
- Português - Mensagem, 2015.g. 2. dezembro
- Slovenčina - Posolstvo 2. december 2015
- Русский - Послание, 2 Декабрь, 2015
- Slovenščina - Sporočilo, 2. december 2015
- Română - Mesaj din 2 decembrie 2015
- Nederlands - Boodschap, 2 december 2015
- Tiếng Việt - Thông điệp Medjugorje ngày, 2.Tháng Mười Hai 2015
- Kiswahili - Ujumbe, 2 Desemba 2015
- Latviešu - Vēstījums, 2015.g. 2. decembris
- Suomi - Viesti, 2 joulukuu 2015
Kiswahili - Ujumbe, 2 Desemba 2015
"Wanangu wapendwa, mimi ni sikuzote pamoja nanyi, kwa maana Mwanangu alinikabidhi ninyi. Nanyi, wanangu, mnanihitaji mimi, mnitafute, mnijie na mfurahishe Moyo wangu wa kimama. Mimi ninawapenda na nitawapenda ninyi mnaoteseka na kutolea mateso yenu kwa ajili ya Mwanangu na kwa ajili yangu. Upendo wangu hutafuta upendo wa wanangu wote na wanangu wote hutafuta upendo wangu. Kwa njia ya upendo Yesu hutafuta ushirika kati ya Mbingu na dunia, kati ya Baba wa mbinguni na ninyi, wanangu, Kanisa lake. Kwa hiyo lazima kusali sana, kusali na kulipenda Kanisa ambalo ninyi ni wake. Sasa Kanisa linateseka na kuhitaji mitume ambao, wakipenda ushirika, wanaposhuhudia na kutoa, waonyeshe njia za Mungu. Kanisa linahitaji mitume ambao, wakiishi Ekaristi kwa moyo, watende matendo makuu. Kanisa linawahitaji ninyi, mitume wangu wa upendo. Wanangu, Kanisa limeteswa na kusalitiwa tangu siku zake za awali, lakini linazidi kukua siku hata siku. Kanisa halitaharibiki, kwa maana Mwanangu alilipa moyo: Ekaristi. Nuru ya ufufuo wake imeng’aa na itang’aa juu yake. Kwa hiyo msiogope! Waombeeni wachungaji wenu, ili wawe na nguvu na upendo kwa kuwa madaraja ya wokovu. Nawashukuru. "
| |
Profonda preoccupa- zione e informazioni inquietanti in merito a: Ultime notizie e articoli Piů di tutti lettura articoli Album di foto di Medjugorje più viste Contenuti preferiti legate a Medjugorje
|